Chris Smalling akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la tatu dakika ya 69 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Manchester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Man City ilitangulia kwa mabao ya Vincent Kompany dakika ya 25 na Ilkay Gundogan dakika ya 30, kabla ya Paul Pogba kuifungia mabao mawili Man United ya kusawazisha dakika za 53 na 55 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ryan Wedding, former Olympic snowboarder accused of running a drug empire,
is arrested
-
The Canadian was added to the FBI's Top 10 Most Wanted Fugitives list in
2025.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment