• HABARI MPYA

  Saturday, April 07, 2018

  RONALDO AONYESHA HAKUBAHATISHA, ARUDIA TENA 'TIK TAK' YA AJABU

  Cristiano Ronaldo akipiga tik tak mazoezini leo kujiandaa na mchezo wa La Liga dhidi ya mahasimu wao wa Jiji, Atletico Madrid kesho Uwanja wa Santiago Bernabeu. Ronaldo alifunga kwa tik tak kama hiyo katika mechi dhidi ya Juventus katikati ya wiki Ligi ya Mabingwa Ulaya mjini Turin PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AONYESHA HAKUBAHATISHA, ARUDIA TENA 'TIK TAK' YA AJABU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top