• HABARI MPYA

    Sunday, April 01, 2018

    JOHN MWANSASU ALIKUWA BEKI ANAYEJUA KUKABA ENZI ZAKE

    Beki wa Yanga, John Mwansasu (kulia) akimdhibiti mshambuliaji wa ASEC Mimosa, Abou Dominique katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka 1998 Uwanja wa Taifa, sasa Uhuru mjini Dar es Salaam. ASEC ilishinda 3-0
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JOHN MWANSASU ALIKUWA BEKI ANAYEJUA KUKABA ENZI ZAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top