• HABARI MPYA

  Sunday, April 01, 2018

  ANTHONY JOSHUA AKUTANA NA BONDIA KWELI, ASHINDA KWA POINTI

  Bondia Muingereza, Anthony Joshua akifurahia na mataji yake ya WBO, IBO, IBF na WBA baada ya kuyaunganisha kufuatia ushindi wa pointi kwenye pambano la raundi 10 uzito wa juu dhidi ya Joseph Parker wa New Zealand usiku wa jana ukumbi wa Principality mjini Cardiff, Uingereza. Baada ya kuunganisha taji la WBO kwenye mataji yake ya awali ya IBO, IBF na WBA katika pambano lake la 21 na la kwanza kushinda kwa pointi baada ya Knockout (KO) tupu kwenye mapambano yake 20 yaliyotangulia, taji pekee lililobaki la uzito wa juu ni la WBC ambalo analo Mmarekani, Deontay Wilder PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ANTHONY JOSHUA AKUTANA NA BONDIA KWELI, ASHINDA KWA POINTI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top