• HABARI MPYA

  Wednesday, April 11, 2018

  AMBAVYO MASHABIKI WA YANGA WALIVYONYONG'ONYEA LEO TAIFA

  Mashabiki wa Yanga wakiwa wanyonge wakati mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu yao na Singida United ukielekea ukingoni huku wakiwa wamefungana bao 1-1, matokeo yaliyodumu hadi filimbi ya mwisho   
   Mashabiki wa Yanga walikuwa wanyonge kulazimishwa sare na Singida nyumbani
   Wakiwa hawaamini macho yao na dakika zinazidi kuyoyoma
  Shabiki wa Simba, Nima ambaye ni mchumba wa zamani wa kipa wa Singida United, Peter Manyika akifurahia watani kupunguzwa kasi 
  Nima alikuwa 'anatoka' na Manyika wakati anadakia Simba, ila kwa sasa wameachana
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AMBAVYO MASHABIKI WA YANGA WALIVYONYONG'ONYEA LEO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top