• HABARI MPYA

    Monday, January 22, 2018

    RUVU SHOOTING NA YANGA SC KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajib (kulia) akiondoka na mpira dhidi ya wachezaji wa Ruvu Shooting katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 1-0 
    Mshambuliaji chipukizi wa Yanga, Yohanna Oscar Nkomola akiwatoka mabeki wa Ruvu Shooting
    Beki wa Yanga, Mwinyi Hajji Mngwali akimpita mshambuliaji wa Ruvu, Abdurahman Mussa aliyelala kujaribu kuokoa
    Beki wa Yanga, Hassan Kessy akimpita beki wa Ruvu, Mau Bofu
    Kiungo Mkongo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi akimtoka beki wa Ruvu, Rajab Zahir 
    Winga wa Yanga, Emmanuel Martin akimuacha chini beki wa Ruvu
    Kiungo wa Yanga, Raphael Daudi akiwatoka wachezaji wa Ruvu
    Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akimpita Rajab Zahir
    Kikosi cha Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu jana
    Kikosi cha Ruvu Shooting katika mchezo wa jana 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RUVU SHOOTING NA YANGA SC KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top