• HABARI MPYA

  Sunday, January 28, 2018

  MUSLAH NA WADAU WENGINE WALIOISHUHUDIA SIMBA IKIUA 4-0 LEO

  Mjumbe wa Kamati ya Utandaji ya Simba, Muslah El Ruwaih (kushoto) akishuhudia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu yake na Maji Maji ya Songea leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 4-0 
  Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Mohammed Nassor (kulia) akishuhudia timu yake leo
  Wapenzi maarufu wa Simba wakishuhudia kwa utulivu burudani ya leo
  Mwigizaji nyota Jacob Steven (kushoto) na mwandishi wa Habari, Somoe Ng'itu (kulia) wakifuatilia mchezo wa leo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MUSLAH NA WADAU WENGINE WALIOISHUHUDIA SIMBA IKIUA 4-0 LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top