• HABARI MPYA

  Sunday, January 28, 2018

  WEST BROM YAITUPA NJE LIVERPOOL KOMBE LA FA ENGLAND

  Jay Rodriguez akifurahia baada ya kuifungia West Bromwich Albion mabao mawili dakika za saba na 11 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya wenyeji, LIverpool kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England Uwanja wa Anfield usiku wa Jumamosi. Bao lingone la West Brom limefungwa na Joel Matip aliyejifunga dakika ya 47, wakati mabao ya Liverpool yamefungwa na Roberto Firmino dakika ya tano na Mohamed Salah dakika ya 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WEST BROM YAITUPA NJE LIVERPOOL KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top