• HABARI MPYA

  Sunday, January 28, 2018

  BATSHUAYI AFUNGA MAWILI CHELSEA YAIPIGA 3-0 NEWCASTLE FA

  Mshambuliaji Mbelgiji wa Chelsea, Michy Batshuayi akinyoosha vidole juu kushangilia baada ya kuifungia The Blues mabao mawili dakika za 31 na 44 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Newcastle United kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England leo Uwanja wa Stamford Bridge, London. Bao lingine la Chelsea limefungwa na Marcos Alonso dakika ya 72 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BATSHUAYI AFUNGA MAWILI CHELSEA YAIPIGA 3-0 NEWCASTLE FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top