• HABARI MPYA

  Monday, January 29, 2018

  MESSI AIFUNGIA BAO LA USHINDI BARCA DAKIKA ZA MWISHONI

  Lionel Messi akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la ushindi dakika ya 84 ikiwalaza Deportivo Alaves 2-1 katika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Alaves ilitangulia kwa bao la John Guidetti  dakika ya 23, kabla ya Luis Suarez kuisawazishia Barca dakika ya 72 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AIFUNGIA BAO LA USHINDI BARCA DAKIKA ZA MWISHONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top