Beki Mzimbabwe wa Azam FC, Bruce Kangwa akiruka juu kuokoa kwa kichwa dhidi ya mshambuliaji wa Yanga, Mzambia Obrey Chirwa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam
Beki wa Yanga, Kevin Yondan akiruka juu kuokoa kwa kichwa dhidi ya mshambuiliaji wa Azam FC, Shaaban Iddi
Nahodha wa Yanga, Kevin Yondan 'akianua' jana huku Hassan Kessy akiwa tayari kutoa msaada
Kiungo wa Yanga, Raphael Daudi akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Azam FC
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajib akimiliki mpira mbele ya beki wa Azam FC, Yakubu Mohammed
Beki wa Yanga, Hassan Kessy akimlamba chenga kiungo wa Azam FC, Joseph Mahundi
Kiungo wa Yanga, Juma Mahadhi akimtoka kiungo wa Azam FC, Himid Mao aliyechezeshwa kama beki jana
Kiungo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi akiondoka na mpira dhidi ya mshambuliaji wa Azam FC, Mbaraka Yussuf
Kikosi cha Azam FC kabla ya mchezo wa jana
Kikosi cha Yanga kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam |
0 comments:
Post a Comment