• HABARI MPYA

  Friday, January 26, 2018

  COUTINHO ALIVYOANZA KAZI NA MOTO WAKE JANA BARCA IKIUA 2-0

  Mchezaji mpya, Philippe Coutinho akimuacha chini beki wa Espanyol wakati akiichezea Barcelona kwa mara ya kwanza baada ya kuingia kutokea benchi kuchukua nafasi ya Iniesta dakika ya 68 katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Mfalme, Barca ikishinda 2-0 Uwanja wa Camp Nou PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COUTINHO ALIVYOANZA KAZI NA MOTO WAKE JANA BARCA IKIUA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top