Wachezaji wa Arsenal, Olivier Giroud na Aaron Ramsey wakiwa wanyonge baada ya kufungwa bao la tatu na Swansea City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana wakilala 3-1 mbele ya wenyeji wao hao Uwanja Liberty, Wales. Arsenal walitangulia kwa bao la Nacho Monreal dakika ya 33, kabla ya Sam Clucas kuisawazishia Swansea dakika moja tu baadaye na kufunga la tatu dakika ya 86 kufuatia Jordan Ayew kufunga la pili dakika ya 61. Henrikh Mkhitaryan aliyesajiliwa kwa kubadilishwa na Alexis Samchez aliyekwenda Manchester United alicheza mechi yake ya kwanza Arsenal jana akiingia kuchukua nafasi ya Mohamed Elneny dakika ya 60 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment