• HABARI MPYA

  Sunday, January 21, 2018

  LWANDAMINA ALIPOENDELEA KUISHUHUDIA YANGA KUTOKA JUKWAANI

  Kocha wa Yanga, Mzambia George Lwandamina (wa tatu kutoka kulia) akifuatilia kwa makini mchezo wa timu yake dhidi ya Ruvu Shooting Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Yanga ilishinda 1-0 na leo kwa mara ya tatu Lwandamina hakuwa benchi kwa sababu ya kibali cha kufanyia kazi nchini. 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LWANDAMINA ALIPOENDELEA KUISHUHUDIA YANGA KUTOKA JUKWAANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top