• HABARI MPYA

  Tuesday, January 23, 2018

  KAGERA SUGAR NA SIMBA SC KATIKA PICHA JANA KAITABA

  Mshambuliaji wa Simba SC, John Bocco (kushoto) akiwa anagaa gaa chini pamoja na mchezaji wa Kagera Sugar, Pastory Athanas katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Kaitaba Bukoba, Simba ilishinda 2-0
  Mshambuliaji wa Simba, John Bocco akiwa ameruka juu kuwania mpira na beki wa Kagera Sugar Uwanja wa Kaitaba 
  Kiungo wa Simba, Said Ndemla akikimbia kushangilia baada ya kufunga bao la kwanza jana
  Mshambuliaji Mganda, Emmanuel Okwi akikimbia dhidi ya beki wa Kagera Sugar, Juma Nyosso
  Kikosi cha Kagera Sugar kabla ya mchezo wa jana 
  Kikosi cha Simba SC kabla ya mchezo wa jana
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAGERA SUGAR NA SIMBA SC KATIKA PICHA JANA KAITABA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top