• HABARI MPYA

  Monday, January 22, 2018

  ARSENAL ILIVYOMTAMBULISHA HENRIKH MKHITARYAN LEO

  Kiungo Henrikh Mkhitaryan akiwa ameshika jezi ya Arsenal baada ya kukamilisha uhamisho wake kwa mkataba wa muda mrefu kutoka Manchester United kwa kubadilishwa na Alexis Sanchez aliyesaini miaka minne na nusu Old Trafford PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL ILIVYOMTAMBULISHA HENRIKH MKHITARYAN LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top