• HABARI MPYA

    Friday, October 06, 2017

    SANCHEZ AFUNGA LA USHINDI, CHILE YAILAZA 2-1 ECUADOR

    Nyota wa Arsenal, Alexis Sanchez akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Chile dakika ya 85 ikiilaza 2-1 Ecuador katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa Amerika ya Kusini uliofanyika Uwanja wa Monumental David Arellano mjini Santiago, Chile. Bao la kwanza la Chile lilifungwa na Eduardo Vargas dakika ya 22, wakati la wageni lilifungwa na Romario Andres Ibarra dakika ya 84 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SANCHEZ AFUNGA LA USHINDI, CHILE YAILAZA 2-1 ECUADOR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top