• HABARI MPYA

    Friday, October 06, 2017

    SUAREZ, CAVANI WASHINDWA KUISAIDIA URUGUAY, YATOA SARE

    Kikosi cha Uruguay cha kocha Oscar Tabarez kikiwa na wachezaji wake wote nyota, LuisnSuarez wa Barelona ( wa kwanza kulia walioinama) na Edinson Cavani (wa pili kulia waliosimama) kabla ya mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia Amerika Kusini dhidi ya wenyeji, Venezuela uliomalizika kwa sare ya 0-0 usiku wa jana Uwanja wa Polideportivo de Pueblo Nuevo mjini San Cristobal PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SUAREZ, CAVANI WASHINDWA KUISAIDIA URUGUAY, YATOA SARE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top