Cristiano Ronaldo na wachezaji wenzake wa Real Madrid wakiwa na huzuni baada ya kupoteza mchezo wa La Liga ugenini mbele ya wenyeji, Girona kwa kufungwa 2-1 Uwanja wa Manispaa ya Montilivi mjini Girona, Katalunya. Mabao ya Girona yalifungwa na Christhian Stuani dakika ya 54 na Christian Portu dakika ya 58, kufuatia Isco kuanza kuifungia Real dakika ya 12 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
46 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment