• HABARI MPYA

    Wednesday, October 25, 2017

    CHELSEA YAZIFUATA MAN UNTED, ARSENAL ROBO FAINALI CARABAO CUP

    Nyota Mbrazil, Willian akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya pili ya muda wa ziada baada ya kutimia 90 za kawaida katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Everton kwenye mchezo wa Kombe la Carabao usiku huu Uwanja wa Stamford Bridge, London. Bao lingine la Chelsea lilifungwa na Antonio Rudiger dakika ya 26, wakati la Everton lilifungwa na Dominic Calvert-Lewin dakika ya nne ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika 90. Chelsea inaungana na Manchester United, Manchester City na Arsenal kwenda robo fainali ya michuano hiyo  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHELSEA YAZIFUATA MAN UNTED, ARSENAL ROBO FAINALI CARABAO CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top