Daniel Sturridge akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la kwanza katika ushindi wa 3-0 leo Uwanja wa Anfield katika mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi Huddersfield walioifunga Manchester United 2-1 Oktoba 21. Mabao mengine yalifungwa na Daniel Sturridge, Roberto Firmino dakika ya 58 na Georginio Wijnaldum dakika ya 75 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Mets reportedly trade for All-Star Brewers P Freddy Peralta
-
The New York Mets have traded for All-Star Brewers pitcher Freddy Peralta,
ESPN’s Jeff Passan reports.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment