Anthony Martial akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Manchester United dakika ya 81 ikiilaza 1-0 Tottenham Hotspur katika mchezo wa Ligi Kuu ya England uliofanyika Uwanja wa Old Trafford jioni ya leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Loading...
0 comments:
Post a Comment