Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kwanza dakika ya 36 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Athletic Bilbao usiku wa Jumamosi Uwanja wa San Mamés Barria mjini Bilbao, ambalo linakuwa bao lake la 12 katika mechi 10 za La Liga msimu huu. Bao la pili la Barca lilifungwa na Paulinho dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
54 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment