Chipukizi aliyepandishwa kutoka timu B, Jose Arnaiz akishangilia kwa staili yake baada ya kuifungia bao zuri la tatu Barcelona dakika ya 56 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Murcia kwenye mchezo wa Kombe la Mfalme Uwanja wa Nueva Condomina, Murcia. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Paco Alcecer dakika ya 44 na Deulofeu dakika ya 52 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Mets reportedly trade for All-Star Brewers P Freddy Peralta
-
The New York Mets have traded for All-Star Brewers pitcher Freddy Peralta,
ESPN’s Jeff Passan reports.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment