• HABARI MPYA

  Saturday, October 28, 2017

  ENGLAND WATWAA KOMBE LA DUNIA LA U-17 INDIA

  Wachezaji wa England wakishangilia ubingwa wa Kombe la Dunia la Vijana chini ya umri wa miaka 17 baada ya ushindi wa 5-2 dhidi ya Hispania leo mjini  Kolkata, India. Mabao ya England yalifungwa na Rhian Brewster, Morgan Gibbs White, Phil Foden mawili na Marc Guehi, wakati ya Hispania yalifungwa na Sergio Gomez PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ENGLAND WATWAA KOMBE LA DUNIA LA U-17 INDIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top