• HABARI MPYA

    Sunday, October 29, 2017

    RAIS WA SIMBA, SALIM 'TRY AGAIN' NA MAKAMU WAKE IDDI KAJUNA...

    Kaimu Rais wa Simba, Salim Abdallah 'Try Again' (katikati) akiwa na kaimu makamu wa Rais, Iddi Kajuna (kulia) na Mwenyekiti wa Chama cha Soka Dar es Salaam (DRFA), Almasi Kasongo (kushoto) wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya mahasimu wa jadi, Yanga uliomalizika kwa sare ya 1-1 leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam
    Kaimu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga (kushoto) akiwa na Makamu Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Wambura (katikati) na Mbunge wa zamani wa Lindi Mjini, Abdulaziz Mudhihir 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RAIS WA SIMBA, SALIM 'TRY AGAIN' NA MAKAMU WAKE IDDI KAJUNA... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top