Matteo Darmian (kushoto) na Marcus Rashford (kulia) wakimkimbilia Jesse Lingard (katikati) kumpongeza baada ya kuifungia Manchester United mabao yote mawili dakika za 21 na 59 dhidi ya wenyeji, Swansea City usiku wa jana Uwanja wa Liberty, Swansea nchini Wales na kuipeleka Robo Fainali ya kombe la Carabao PICHA ZAIDI GONGA HAPA
MSANIFU MKONGWE AACHA URITHI WA MAARIFA CHUO KIKUU ARDHI DAR ES SALAAM
-
*Mkuu wa Skuli ya Ubunifu Majengo, Usimamizi na Uchumi Ujenzi wa Chuo Kikuu
Ardhi (ARU), Profesa Livin Mosha akipokea sehemu ya vitabu vya usanifu
majen...
6 hours ago
0 comments:
Post a Comment