Mshambuliaji wa Nice, Mario Balotelli (kushoto) akimtolea vitisho nyota wa Paris Saint Germain, Edinson Cavani katika mchezo wa Ligue 1, Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Parc de Princes mjini Paris. PSG ilishinda 3-0, Cavani akifunga mabao mawili dakika ya pili na 31 na lingine Dani Alves dakika ya 52 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA AfDB MJINI DODOMA
-
* Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi
Adesina mara ...
13 minutes ago
0 comments:
Post a Comment