Kipa wa Bolivia, Lampe (kulia) akizuia mchomo wa papo kwa papo wa Neymar (kushoto) wa Brazil katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia jana kwa kanda ya Amerika Kusini Uwanja wa Hernando Siles mjini La Paz timu hizo zikitoka sare ya 0-0. Hata hivyo, Brazil imekwishajihakikishia tiketi ya Urusi mwakani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
China says it rescued Philippine crew from cargo ship near Scarborough Shoal
-
BEIJING, Jan 23 (Reuters) - The Chinese Coast Guard said on Friday it
dispatched two vessels to rescue 21 Philippine crew members in a foreign
cargo ship t...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment