• HABARI MPYA

    Thursday, August 03, 2017

    SAMATTA, HANGAYA WAIKACHA PRISONS, WATUA MBEYA CITY

    Kiungo Mohamed Samatta akisaini mkataba wa miezi 18 kujiunga na Mbeya City leo kutoka kwa mahasimu wa Jiji la Mbeya, Prisons 

    Mshambuliaji Victor Hangaya akiwa ameshika jezi nambari 27 ya Mbeya City aliyokabidhiwa baada ya kusiani mkataba wa miaka miwili leo akitokea Prisons pia
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SAMATTA, HANGAYA WAIKACHA PRISONS, WATUA MBEYA CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top