Marcelo akibusu taji la Super Cup la UEFA baada ya Real Madrid kuifunga Manchester United 2-1 Uwanja wa Nacionalna Arena Filip II, Makedonski mjini Skopje, Macedonia. Mabao ya Real Madrid yamefungwa na Casemiro dakika ya 24 na Isco dakika ya 52, wakati la Man United limefungwa na Romelu Lukaku dakika ya 62 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Who's leading the race for the Golden Shoe?
-
As the halfway mark of the 2025/26 campaign approaches, BBC Sport takes a
look at the frontrunners for this season's European Golden Shoe award.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment