• HABARI MPYA

    Tuesday, August 08, 2017

    KWA HESHIMA HII, KWA NINI MO DEWJI ASIPEWE SIMBA?

    Bilionea Mohammed 'Mo' Dewji anayetaka kuinunua klabu ya Simba akiwapa heshima mashabiki wa timu hiyo kabla ya mchezo dhidi yaq Rayon Sport ya Rwanda Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam 
    Hapa Mo Dewji akizundua Simba App na kuwataka wapenzi wa timu hiyo waichangamkie
    Mo Dewji akizundua Simba App leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa EAG Group, Imani Kajula
    Mo Dewji akinyoosha mkono kishujaa mbele ya mashabiki wa Simba
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KWA HESHIMA HII, KWA NINI MO DEWJI ASIPEWE SIMBA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top