• HABARI MPYA

  Wednesday, August 02, 2017

  MAKIPA BORA AFRIKA, NDUDA NA ONYANGO WALIPOKUTANA JO'BURG

  Kipa bora Afrika, Denis Onyango wa klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini (kulia) akiwa na kipa bora wa Kombe la COSAFA, Said Mohamed Nduda wa Simba ya Tanzania leo mjini Johannesburg,. Nduda yupo na Simba Afrika Kusini kwa kambi ya maandalizi ya msimu mpya
  Nduda (kulia) akiwa na wachezaji wenzake wa Simba wakizirura mitaa ya Jiji la Johannesbur
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAKIPA BORA AFRIKA, NDUDA NA ONYANGO WALIPOKUTANA JO'BURG Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top