• HABARI MPYA

  Thursday, August 03, 2017

  ATLETICO WAILIZA KWA MATUTA LIVERPOOL NA KUBEBA KOMBE LA AUDI

  Picha kubwa wachezaji wa Atletico Madrid wakifurahia na Kombe la Audi baada ya kuifunga Liverpool (picha ndogo juu kushoto) kwa penalti 5-4 kufuatia sare ya 1-1 ndani ya dakika 90 usiku wa jana Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich, Ujerumani. Keidi Bare alianza kuwafungia wenyeji dakika ya 33, kabla ya Roberto Firmino kuwasawazishia wageni dakika ya 83 na katika mikwaju ya penalti waliofunga na Atletico ni Griezmann, Torres, Gabi, Gaitan na Luis wakati za Liverpool zilifungwa na Firmino, Origi, Kent na Grujic huku Henderson akikosa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ATLETICO WAILIZA KWA MATUTA LIVERPOOL NA KUBEBA KOMBE LA AUDI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top