• HABARI MPYA

    Sunday, July 02, 2017

    URENO YACHUKUA NAFASI YA TATU KOMBE LA MABARA

    Adrien Silva akishangilia baada ya kuifungia Ureno bao la ushindi dakika ya 104 kwa penalti, ikiilaza 2-1 Mexico katika mchezo wa kuwania nafasi ya tatu Kombe la FIFA la Mabara leo Uwanja wa Otkrytiye Arena, mjini Moskva. Luis Neto alianza kujifunga kuipatia Mexico bao la kuongoza dakika ya 54, kabla ya Pepe kuisawazishia Ureno dakika ya 90 na ushei na mchezo ukahamia kwenye dakika za nyongeza, ambako Silva akamaliza kazi  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: URENO YACHUKUA NAFASI YA TATU KOMBE LA MABARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top