• HABARI MPYA

  Monday, July 03, 2017

  UJERUMANI BINGWA MABARA, WAIPACHIKA KIDUDE CHILE MAPEMAA!

  Wachezaji wa Ujerumani wakishangilia na Kombe lao la FIFA la Mabara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Chile, bao pekee la Lars Stindl dakika yaa 21 Uwanja wa Krestovskyi mjini Saint Petersburg, Urusi. Ujerumani pia ni mabingwa wa dunia PICHA ZAAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UJERUMANI BINGWA MABARA, WAIPACHIKA KIDUDE CHILE MAPEMAA! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top