• HABARI MPYA

    Monday, July 03, 2017

    TAIFA STARS NA BAFANA BAFANA KATIKA PICHA JANA 'SAUZI'

    Mshambuliaji wa Tanzania, Elias Maguri (kushoto) akipiga shuti dhidi ya beki wa Afrika Kusini kuifungia Taifa Stars bao pekee laa ushindi ikiilaza Bafana Bafana 1-0 usiku wa jana Uwanja wa Royal Bafokeng Sports Palace mjini Rusternburg, Afrika Kusini katika mchezo wa Robo Fainali Kombe la COSAFA Castle 
    Kiungo chipukizi wa Taifa Stars, Raphael Daudi akimtoka beki wa Bafana Bafana  
    Winga wa Taifa Stars, Shizza Kichuya akipiga mpira pembeni ya mchezaji wa Bafana Bafana
    Elias Maguri akimnyatia beki wa Bafana Bafana jana 
    Beki wa Bafana Bafana akienda juu kuokoa kwa kichwa dhidi ya Raphael Daudi wa Taifa Stars
    Mshambuliaji wa Tanzania, Thomas Ulimwengu (kushoto) akiwania mpira dhidi ya beki wa Bafana Bafana 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TAIFA STARS NA BAFANA BAFANA KATIKA PICHA JANA 'SAUZI' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top