• HABARI MPYA

  Saturday, July 22, 2017

  CRYSTAL PALACE WAINYUKA WEST BROM 2-0 HONG KONG

  Bakary Sako akishangilia baada ya kuifungia Crystal Palace bao la pili dakika ya 43 ikiilaza 2-0 West Brom katika mchezo wa kuwania nafasi ya tatu Kombe la Ligi Kuu Asia leo Uwanja wa Hong Kong mjini Hong Kong, China. Bao la kwanza la Palace limefungwa naLuka Milivojevic dakika ya 11 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CRYSTAL PALACE WAINYUKA WEST BROM 2-0 HONG KONG Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top