Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwa mazoezini Uwanja wa Tolip Sports City mjini Alexandria, Misri jana ambako wameweka kambi ya wiki moja tangu juzi kujinadaa na mchezo wa Kundi L kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika Juni 10 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam dhidi ya Lesotho
340
340
0 comments:
Post a Comment