• HABARI MPYA

  Friday, June 23, 2017

  CAMEROON YAJIWEKA PAGUMU KOMBE LA MABARA

  Kiungo chipukizi wa Marseille ya Ufaransa, Andre-Frank Zambo Anguissa akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Cameroon bao la kuongoza dakika ya 45 na ushei katika sare ya 1-1 na Australia usiku wa Alhamisi Uwanja Krestovskyi mjini St. Petersburg, Urusi katika mchezo wa Kundi B Kombe la Mabara. Australia ilisawazisha kupitia kwa Mark Milligan kwa penalti dakika ya 60PICHA ZAIDI GONGA HAPA  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CAMEROON YAJIWEKA PAGUMU KOMBE LA MABARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top