• HABARI MPYA

  Friday, June 23, 2017

  WANYAMA ALIPOKUTANA NA YUSSUF BAKHRESA BAADA YA 'KULA BATA' NA AY

  Mkurugenzi wa Azam TV, Yussuf Bakhresa (katikati)  akiwa na kiungo wa kimataifa wa Kenya, Victor Wanyama (kulia) anayechezea Tottenham Hotspur ya England na mchambuzi wa soka, Edo Kumwembe (kushoto)
  Awali Victor Wanyama alipata wakati mzuri wa kuburudika kwenye Bahari ya Hindi na mwanamuziki Ambwene Yessayah 'AY' . Wanyama yupo nchini kwa mapumziko ya baada ya msimu
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WANYAMA ALIPOKUTANA NA YUSSUF BAKHRESA BAADA YA 'KULA BATA' NA AY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top