Wachezaji wa Ujerumani wakipeana mikono na wachezaji wa Australia baada ya ushindi wa 3-2 katika mchezo wa Kundi B Kombe la Mabara jana Uwanja wa Olimpiki Fisht mjini Sochi. Mabao ya Ujerumani yalifungwa na Lars Stindl dakika ya tano, Julian Draxler dakika ya 44 kwa penalti na Leon Goretzka dakika ya 48 wakati ya Australia yalifungwa na Tom Rogic dakika ya 41 na Tomi Juric dakika ya 56 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Eric Comrie makes 34 saves, Winnipeg Jets top Buffalo Sabres 4-1
-
WINNIPEG — Eric Comrie made 34 saves and Kyle Connor scored his
team-leading 15th goal of the season as the Winnipeg Jets downed the
Buffalo Sabres 4-1 on ...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment