• HABARI MPYA

  Wednesday, June 21, 2017

  MFALME RONALDO AING'ARISHA URENO KOMBE LA MABARA

  Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia Ureno bao pekee dakika ya nane ikishinda 1-0 dhidi ya wenyeji, Urusi katika mchezo wa Kundi A Kombe la Mabara leo Uwanja wa Otkrytiye Arena mjini Moscow PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MFALME RONALDO AING'ARISHA URENO KOMBE LA MABARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top