• HABARI MPYA

  Tuesday, June 20, 2017

  WANYAMA YUPO DAR ES SALAAM KWA MAPUMZIKO

  Kiungo wa kimataifa wa Kenya, Victor Wanyama anayechezea Tottenham Hotspur ya England akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam kwa mapumzuko ya baada ya msimu wa Ligi Kuu, akiiwezesha tijmu yake kumaliza nafasi ya pili 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WANYAMA YUPO DAR ES SALAAM KWA MAPUMZIKO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top