• HABARI MPYA

    Sunday, June 25, 2017

    MESSI ALIVYOFURAHIA NA FAMILIA YAKE KUTIMIZA MIAKA 30 JANA

    Nyota wa Barcelona, Muargentina Lionel Messi akiwa na mpenzi wake, Antonella Roccuzzo na mwanawe wa kiume, Thiago mbele ya keki maalum wakati akisherehekea kutimiza miaka 30 jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI ALIVYOFURAHIA NA FAMILIA YAKE KUTIMIZA MIAKA 30 JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top