Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez akishangilia baada ya kuifungia Chile bao la kuongoza dakika ya sita katika sare ya 1-1 na Ujerumani usiku wa Alhamisi Uwanja wa Kazan Arena mjini Kazan kwenye mchezo wa Kundi B Kombe la Mabara. Ujerumani ilisawazisha kupitia kwa Lars Stindl dakika ya 41, lakini Sanchez amefanikiwa kuweka rekodi ya mchezaji aliyeifungia mabao mengi zaidi kihistoria Chile akifikisha mabao 38 na kumpiku Marcelo Salas PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment