• HABARI MPYA

    Thursday, April 06, 2017

    TAMBWE ALIVYOJIFUA NA YANGA LEO KUJIANDAA NA MC ALGER

    Mshambuliaji Amissi Tambwe (katikati) akipiga mpira kwenye mazozi ya Yanga jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya MC Alger ya Algeria Jumamosi 
    Amissi Tambwe kushoto anatarajiwa kurejea uwanjani Jumamosi baada ya kuwa nje kwa muda mrefu
    Kocha Mzambia wa Yanga, George Lwandamina akiwaongoza wachezaji wake kwa vitendo 
    Kocha Lwandamina akizungumza na Daktari, Edward Bavu (kushoto) na kiungo Thabani Kamusoko (kulia)
    Kocha Lwandamina akiwaonyesha kwa vitendo wachezaji wake 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TAMBWE ALIVYOJIFUA NA YANGA LEO KUJIANDAA NA MC ALGER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top