• HABARI MPYA

    Saturday, April 29, 2017

    HAFLA YA UCHANGIAJI SERENGETI BOYS SERENA HOTEL JANA

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia) akipokea mpira kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi jana katika hafla maalum ya kuichangia timu ya taifa yaa vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys iliyofanyika hoteli ya Serena, Dar ea Salaam
    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya kupiga penalti kulia. Kushoto ni gwiji wa soka ya Tanzania, Kitwana Manara aliyeanza kama kipa na kumaliza kama mshambuliaji ambaye alikuwa kipa jana 
    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika picha ya pamoja na viongozi na wadau mbalimbali 
    Balozi wa Korea nchini Tanzania, Song Geum-young alikuwepo jana
    Kutoka kulia ni Charles Hillary, Mahmoud Zubeiry na Kitwana Manara katika hafla hiyo jana  
    Shughuli ilipendeza jana kutokana na wadau mbalimbali kujitokeza
    Maofisa wa TFF, Eliud Mvella kulia na Wakili Emmanuel Muga
    Baadhi ya Waandishi wa Habari waliojitokeza kwenye hafla hiyo
    Wataalamu wa Azam TV ambaoo walirusha 'live' shughuli hiyo wakiwa kazini jana
    Fatma wa Bodi ya Ligi kulia na Mariam wa TFF kushoto 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HAFLA YA UCHANGIAJI SERENGETI BOYS SERENA HOTEL JANA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

    PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

    Scroll to Top