• HABARI MPYA

  Friday, April 21, 2017

  YANAYOMSIBU MESSI KWA SASA......ANAONA!

  Picha ya kubumba iliyopostiwa na @Garcia_Itaipu  ikimuonyesha mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akicheza shindano la dansi la mtaani. Picha hiyo imetokana na tukio la kuangukia kichwa na Muargentina huyo Jumatano wakati wa mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Juventus timu hizo zikitoka sare ya 0-0 Uwanja wa Camp Nou na Barca kuaga kwa kipigo cha 3-0 walichopewa mjini Torino, Italia wiki iliyopita PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANAYOMSIBU MESSI KWA SASA......ANAONA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top