Marco Reus na Pierre-Emerick Aubameyang wakipongezana baada ya wote kuifungia Borussia Dortmund katika ushindi wa 3-2 ugenini dhidi ya Bayern Munich katika Nusu Fainali ya Kombe la Ujerumani usiku wa jana Uwanja wa Allianz Arena, Munich. Reus alifunga la kwanza dakika ya 19, aubameyang la pili dakika ya 69 na la tatu lilifungwa na Ousmane Dembele dakika ya 74, wakati ya Bayern yalifungwa na Javi Martinez dakika ya 28 na Mats Hummels dakika ya 41 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Iran's famed singer Googoosh recalls family, exile and life in the spotlight
-
DUBAI, United Arab Emirates (AP) — For Googoosh, Iran's most-famous singer,
life always has been balancing act of one kind or another.
29 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment